Wednesday, 22 October 2014

PICHA - MTUHUMIWA WA UGAIDI KWA KULIPUA MABOMU ARUSHA AUAWA


Polisi mkoani Arusha wamemuua kwa risasi mtuhumiwa Namba Moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko jijini humo na umwagiaji watu tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa njiani kwenda kuonyesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya Kondoa mkoani Dodoma,

Picha hii imepigwa baada ya kukamatwa na tuhuma hizo.

No comments: