Monday, 13 October 2014

JINI KABULA"KIPI SIJASIKIA?"

Miriam Jolwa a.k.a Jini Kabula

Muigizaji wa kike bongo movies JINI KABULA anayetumia jina la Kabulaflavour kwenye mtandao wa INSTAGRAM leo amefunguka yamoyoni kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake!!!
Kipi sijasikia...Kabula kahaba..Kabula mlevi..Kabula mgomvi..Kabula ana ukimwi..na mengine mengi tu,naombeni mseme mapya nimechoka kusikia ya zamani na kama hamna mapya niacheni nipumzisheni nipumzike...............
Akaendelea na hii; Ooooh mala nimefulia jamani naomba kuwaambia ukweli mimi sijawahi kuwa Manji kwahiyo habari za kufulia mimi sizijui wanaofulia ni wale ambao walishawahi kuwa matajiri.
Sasa umeona wapi maskini naye kafulia..??? Hihihihihihi binadamu mnakazi sana nimemalizaaaa   
                                               NI SHEEDAH!!!

No comments: