![]() |
| Pichani Meneja wa msanii T.I,Jonson Geter {Fulana Nyeusi} akiwa na mmoja kati ya timu yake{katikati}pamoja na mtangazaji Shadee{Clouds Media},Viwanjani Leaders Club. |
| Shughuli ya kujenga jukwaa zikiendelea ndani ya viwanja vya Leaders Club-Kinondoni jijini Dar es salaam.ambapo ndipo kilele cha Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafanyika. |

No comments:
Post a Comment