Friday, 17 October 2014

PICHA & VIDEO-MTOTO WA AJABU AIBUKA DAR, ATOA ELIMU AKHERA NA DUNIA

Mtoto Salim akitoa elimu kwa wananchi

UMATI wa wakazi wa Temeke jijini Dar, jana walikusanyika kumshangaa mtoto, Salim mwenye umri wa mika 13 kufuatia uwezo wake wa kujua mambo mbalimbali sambamba na kutoa elimu akhera na dunia.
Fuatilia muhadhara huo hapo chini,{VIDEO}

MTOTO WA AJABU AIBUKA DAR, ATOA ELIMU AKHERA NA DUNIA

No comments: