![]() |
Marehemu SIDE BOY |
Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa Muziki wa bongo Flava aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia hii leo. Side amefikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi. Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba. Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua’
Hii hapa moja ya HIT zake zilizowahi kufanya vizuri kwenye Anga la Muziki wa kizazi kipya{BONGO FLAVA}.
TITLE-Hujafa Hujaumbika{Official Video} Feat BEST NASSO,
IANGALIE HAPO CHINI,
No comments:
Post a Comment