Friday, 17 October 2014

PICHA-DAVIDO AINGIA BONGO.

Msanii mahiri toka nchini Nigeria Davido ameingia nchini rasmi kwa ajili ya ziara yake ya kisanii nchini,akiwa nchini Davido anatarajiwa kuwepo kwenye Tamasha kubwa lililoandaliwa na Radio Times Fm{100.5Fm}ya jijini Dar es salaam.






No comments: