Saturday, 18 October 2014

PICHA-MSANII T.I NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM,TAYARI KWA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014.









Msanii T.I toka nchini Marekani akiwasili nchini rasmi.


Wasanii T.I & DAVIDO wakiwa kwenye utambulisho rasmi kwa Waandishi wa Habari.

Msanii T.I akipokea zawadi ya Picha yake iliyochorwa akiwa amevalia kimasai toka kwa mmoja wa mashabiki wake.



No comments: