| Siku ya tarehe 02-10-2014 ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa msanii mahiri katika muiki wa kizazi kipya mnchini Diamond Platnumz @Chibu Dangotee,ni siku iliyopambwa kwa sherehe kubwa iliyofana ikijumuisha wasanii lukuki wakiwemo wa muziki wa Bongo Flava na Tasnia Ya Uigizaji Filamu nchini [Bongo Movie},Sherehe iliyotajwa kugharimu takriban Sh,Milion 28 za Kitanzania,ambapo kwenye Sherehe hiyo msanii Diamond Platnumz alizawadiwa Gari aina ya BMW yenye Thamani ya Sh,Milioni 90 za Kitanzania. |
No comments:
Post a Comment