Saturday, 25 October 2014

U-BEST KATI YA WEMA NA AUNTY EZEKIEL WAOTA MBAWA.


New Gossip zinadai kuwa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wametibuana na sio best friends tena, habari hizo kwa mujibu wa gazeti moja zinasema chanzo cha ndani toka kwa wawili hao Kinadai kuwa Wema na Aunty walikwaruzana hivi juzi kati kabla ya Wema Sepetu kwenda nchini China kibiashara ambapo bado yupo huko mpaka hivi sasa na kumtosa shoga'ke huyo Aunty Ezekiel.
Katika safari hiyo Wema ameongozana na meneja wake Martin Kadinda pamoja na Petitman.

No comments: