UKAWA: Prof Lipumba amesema leo Dar es Salaam kuwa Ukawa watakutana Oktoba 26, kusaini makubaliano yao ya kumweka mgombea mmoja katika ngazi zote za uchaguzi.
prof Lipumba akasema wapo makini sana kwa kila hatua na usiri mkubwa. Watasaini makubaliano ya umoja wao kwa ajili ya kuwatoa mafisadi, mbele ya watanzania wote kupitia mkutano mkubwa wa hadhara tarehe hiyo Tusubiri makubwa mwaka huu....

No comments:
Post a Comment