| Nuh na Shilole. |
Kupitia sakata la kumtongoza aliyekuwa Miss{Tz}2006 Wema Sepetu na atimaye kurekodiwa sauti
Nuh mziwanda amesema kuwa sauti inayosikika kwenye audio hiyo iliyovuja
akisikika akimtongoza wema sio yake, amedai hiyo audio imetengenezwa.
"“Hili suala nalichukulia kawaida na naona ni ushamba na upu*vu ha hawana
akili hata kidogo. Kama ni kweli angemfuata shishi akamwamba kwamba
‘mpenzi wako kafanya kitu Fulani Fulani kwangu’ sio kutangaza. Na kama
kweli, kwanini asingesema wengine wanaomtongoza na akaweka mitandaoni?
Ni wema na watu wake wote ndio wamefanya hivi! Siku ya kwanza shishi
alilipokea vibaya lakini baada ya kumuelewesha kanielewa.” Nuh alisema
Baada ya kuzimia kwa mshtuko wakati taarifa hizi zikimfikia na atimaye hali yake kuwa salama.
Shilole amefunguka kuwa hana ugomvi na mtu na wala hajali kama
wametengeneza au vipi kwasababu Nuh alishamuomba msamaha na
wamesameheana.
Akiongea na mtandao wa Bongo5 Nuh amemshutumu Wema na timu yake kwa kuamua kumchafua yeye na mpenzi wake shilole ambaye tayari wamepatana.
No comments:
Post a Comment