Thursday, 2 October 2014

Wema ajipanga kumpa...Diamond leo katika siku yake ya kuzaliwa leo, Shetta amrudishia fadhila

Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote.

Leo, Octber 2, Staa wa muziki wa bongo flava Nasibu Abdul aka Diamond anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25. Mpenzi wake, Wema Abraham Sepetu ambaye huenda wengi wanasubiri kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina ya Nissan Murano,siku chache zilizopita alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa,
Wema ameandika machache kwenye mtandao wa Instagram na kueleza kuwa anajipanga kuandika ujumbe mzuri zaidi. “Happy Birthday to you my original soul... ngoja nitulie kwanza ndo niandike caption maana nina mengi kwa kweli... ila jua nakupenda sana...” Ameandika Wema.

No comments: