Monday, 10 November 2014

PICHA-DIAMOND PLATNUMZ NA BOSS LADY ZARI BATANI NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.


Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram.

SASA LEO TEAMTZ.COM IMEFANIKIWA KUPATA EXCLUSIVE PICTURES ZA WAWILI HAO WAKIWA KATIKA MAPOZI YENYE UTATA KATIKA MOJA YA HOTEL ILIYOPO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
JE... NI WASHKAJI TU AMA..???

No comments: