Friday, 7 November 2014

POLISI WAKAMATA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI





Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi hiyo feki ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katika marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godown maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha Basi kiitwacho mchicha, watuhumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi

Wauhumiwa wa tukio hilo wakiwa chini ya ulinzi.


No comments: