RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Thursday, 13 November 2014
RAIS J.M.KIKWETE ARUHUSIWA RASMI KUTOKA HOSPITALI.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa
upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda
mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko
Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni
mwa wiki iliyopita
No comments:
Post a Comment