![]() |
| PICHANI-Kaimu Mkurugenzi{TPDC} Bw,James Andilile. |
WATIWA MBARONI: Polisi Dar yawakamata M/Kiti wa Bodi na Kaimu Mkurugenzi wa TPDC leo kwa kushindwa kuipatia Kamati ya Bunge (PAC) mikataba 26 ya gesi tangu 2012
Kaimu Mkurugenzi wa TPDC na mwenyekiti wake wa bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC. Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari, kinaleleza kuwa Kaimu Mkurugenzi wa TPDC,bw.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi bw.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC,Kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.


No comments:
Post a Comment