Friday, 23 January 2015

MAUNDA ZORRO NA PICHA NYINGINE ZA KIHASARA HASARA.

Msanii Maunda Zorro,mtoto wa mkongwe wa muziki nchini Zahir Ally Zorro na Dada wa mkali wa Vokal nchini Banana Zorro ameendelea kuchafua Hali ya hewa mtandaoni baada ya kuachilia picha zake akiwa katika Pozi la kihasara hasara,Kama picha husika zinavyojieleza hapo chini,kwa Maunda imekuwa ni kawaida yake kufanya vimtuko kama hivi vya kuachia picha za namna hii mitandaoni zikiwemo zile za mwaka jana alizoziachia akiwa na mwanaume chumbani.



No comments: