Thursday, 15 January 2015

THE SOUND OF THE LUCKIEST DUDE @BONGO FLAVA OLDXUL MIXX

ISIKILIZE MIKONO YAKE ALLAN LUCKY KATIKA MIXIN YA HITS KALI ZILIZOITIKISA BONGO MIAKA YA NYUMA,
"THE SOUND OF THE LUCKIEST DUDE" NI MIXIN TAPE ALIYOITOA KWA AJILI YA KUUENZI MUZIKI WETU WA KIZAZI KIPYA,IKIWEMO KUUKARIBISHA VYEMA MWAKA HUU WA 2015,
WAWEZA KUISIKILIZA HAPO CHINI,

No comments: