Thursday, 26 February 2015

H BABA AFUNGUKA JUU YA SHUTUMA ZA YEYE KUMZALISHA MKEWE BILA MPANGILIO.

H BABA AKIWA NA MKEWE FLORA MVUNGI PAMOJA NA MTOTO WAO WA KWANZA TANZANITE.
 Staa wa Bongo Fleva, H Baba, ni kama amejibu maneno yaliyokuwa yakizungumzwa na mashabiki wake juu ya ujauzito wa mkewe, kwa kudai kuwa wanazaa bila mpango.

H.Baba amesema yeye na mkewe ambaye pia ni mwigizaji wa filamu, Flora Mvungi, wamepanga kuzaa kulingana na mahitaji yao na muda wautakao, hivyo maneno yanayosemwa juu ya Flora kubeba mimba wakati mtoto wao Tanzanite akiwa bado mdogo ni kuwakosea na kuingilia maisha yao.

Wewe una lipi la kuwaambia wasanii hawa?

TUTUMIE MAONI YAKO HAPA>>>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments: