Thursday, 26 February 2015

SHILOLE:-NITAMZALIA NUH WATOTO WAWILI

Msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kumzalia watoto wawili mpenzi wake Nuh Mziwanda, kutokana na mapezi motomoto anayopata kutoka kwa mpenzi wake huyo.

Shilole amesema kuwa, sambamba na kuwa na watoto wawili tayari hakutaweza kumzuia kumzalia mpenzi wake watoto hao kwa kuwa amepata mpenzi ambaye ana kila sababu ya kupewa zawadi ya watoto.

Source-EAST AFRICA RADIO.

No comments: