Wednesday, 25 February 2015

Nuh Mziwanda atupia picha Instagram akiwa Bafuni na Shilole

Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo hapo juu akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby" bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".
Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonyesha kukerwa na kitendo hicho.


NB-Na WEWE Unaweza kututumia Maoni kupitia UKURASA wetu wa FACEBOOK>>>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments: