Abdallah 'king' Kibadeni ameteuliwa na TFF kama kocha
mpya wa Kilimanjaro Stars kuelekea mashindano ya CECAFA Chalenji
yatakayoanza Novemba 21 huko Addis Ababa Ethiopia.
Mashindano yataanza kuanzia Novemba 21 mpaka Disemba 6 mwaka huu.
Kibadeni mchezaji wa zamani Mchezaji wa Simba anamiliki leseni ya daraja B ya Shirikisho la Soka Afrika CAF.
Nchi nyingine zitakazoshiriki mashindano hayo ni Burundi, Djibouti, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Sudan, South Sudan, Uganda, Zanzibar na Somalia.
Kibadeni atasaidiwa na Kocha Juma Mgunda ambaye pia anamiliki kibali cha daraja la B kutoka CAF, amewahi kufundisha timu ya Coastal Union ya Tanga.

No comments:
Post a Comment