Thursday, 12 February 2015

RAPPER BLACK RHYNO{BONGO} KUSHOOT VIDEO NA WIFE WAKE.

AKIWA NI MSANII WA PILI BAADA YA BARNABA ELIAS a.k.a BARNABA BOY KUONYESHA MFANO WA KUIGWA NA WASANII WENZIE BAADA YA KUSHOOT VIDEO YA MOJA KATI YA HITS ZAKE ILIYOFUNGA VYEMA MWAKA 2014{WAHALADE} ALIYOSHOOT NA MKEWE MAMA STEVE,
RAPPER BLACK RHYNO AMBAYE NI MDOGO WA MKONGWE PROFESOR JAY AMETANGAZA KUSHOOT VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA UNAOKUJA "TAKING OVER" AKIMSHIRIKISHA MKEWE PICHANI JUU,
KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK "BLACK RHYNO" ALIANDIKA KAMA IFUATAVYO "TBT
#Taking_Over music video making with wife Cc @adamjumanxl @rehemavisuallab"

No comments: