Thursday, 12 February 2015

WEMA AINADI MIMBA YAKE MTANDAONI.

haya sasa yasemekana kuwa wema sepetu wa "Sepetunga" naye ni mjamzito makubwa haya, i was so shocked after seeing one among the big fun of wemasepetu in instagram after posting the photos za wema sepetu huku wema akiwa  ameshikilia tumbo ikiwa ni kama ishara yakuwa mimba inakuwa, kitendo hicho kiliwashtusha mashabiki wengi wa diamond the platnum,zari pamoja na wa wema, chakushangaza mpaka dakika hii wema mwenyewe hajasema chochote kuhusiana na hilo na wala hajaconfirm kama ana mimba, na mimba hiyo ni ya nani? Is it drama au project nobody knows let us wait n see...
 NB:-NI JAMBO LINALOZUNGUSHA SANA AKILI ZA WENGI,HUKU WENGI WAKITAKA KUAMINI KUWA NI MCHEZO MCHAFU UNAOTARAJIWA KUCHEZWA NA ATIMAYE KUMWACHA MTU AKIWA AMESHIKA KICHWA KWA MAJUTO YA MAPENZI.........
"EMBU NGOJA TUONE..........."
                                       "MOVE STLL LOADED...............

No comments: