Wednesday, 4 March 2015

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'.

Wema Sepetu.

Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

 

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wake mtarajiwa nyumbani kwao Singida tayari kwa mipango ya ndoa. Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex huyo wamsanii Diamond Platnumz."Wema Sepetu".....

No comments: