"Mpendwa soma hii Habari maadili hayapo tena kwa baadhi ya dada zetu. Wanaosema dunia imekwisha wanakosea sana dunia iko pale pale wanadamu ndio wabaya sana kwenye hii dunia baadhi yao wameshageuka kuwa wanyama.
Picha hiyo ya msichana alitia aibu ya aina yake mdada huyo alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi bila kuvaa chupi ndani na kuvaa sindilia maziwa yakiwa wazi hali hiyo iliwafanya baadhi ya wanaume kuchukizwa na uvaaji huo nini kilichotokea? soma. Wanaume hao walimzonga dada huyo kutaka kumvua nguo zote ili abaki uchi kama alivyozaliwa wengine walimchoma Vidole sehemu za siri huku akipigiwa mayowe na kuvuta umati wa watu wengi dada huyo aliokolewa na mwendesha wa boda boda.
Yani unatoka ndani kwako bila kuvaa chupi na sindilia kwanini baadhi ya wakinadada wengi hufanya hivyo? Dada zangu acheni kuiga tamaduni za kizungu tamaduni za nje sio maadili kabisa kuvaa vzr ni heshima kwa mwanamke."



No comments:
Post a Comment