Mwanamuziki
nguli wa kike hapa Tanzania Lady JayDee ambaye kwa sasa anafanya poa na
wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha
baadhi ya mashabiki wake wa Instagram ambao walimuelewa vibaya baada ya
kupost picha jana na kusema kuwa tumbo lake limevimba baada ya kupata
msosi wa maana na mzuri.
"Imebidi nifute post Ili nielezee upya.Hivi watu hamuelewi kiswahili au ni nini ??? Nimesema tumbo limevimba sababu ya sahani,nikimaanisha mlo na nili post nakula hapo awali Sasa hayo maneno mengine yanatokea wapi? Au niwe naandika kichina? Kwani mliambiwa nitazaa Rais atakayewatoa katika shida zote mpaka mnishikilie mimba mimba..Hebu niacheni basi khaaa Nisiishi Kisa mimba? Aisee mnaboa sana. Basi niueni Kisa sijazaa Ili niwaondolee kero kabisa." aliandika Jide......

No comments:
Post a Comment