![]() |
Siwema na Mtoto wake. |
SIWEMA:-Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko hivi:nay,naomba usisahau kama niwewe uliniambia nitafute boyfrnd..tena ulintukania hd mamang marehem,nilikushukuru tu..nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..mamaako.mzazi anajua,dadaako tina anajua...unasema umenifumania,jaribu kumuogopa mungu,we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta mi nas#x kitandani..dahh ,ongea ukweli..nay mimi ndio nilikua nakupenda,hukuwah onyesha mapenzi hata siku1 kwangu,nilikua natetea penzi letu sanaaa..mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo ,wallah nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba
Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay wa Mitego alikuwa wa kwanza kuweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram.. aliandika kwamba Curtis ambaye ni mtoto wa Nay sio mtoto wa msanii huyo ila baba yake anaitwa Obasanjo.
Kingine Siwema amelalamika kuhusu Nay ambaye ni mzazi mwenzake kumnyanyasa na pia kuongea vitu ambavyo sio kweli ikiwemo Nay kusema kwamba alimnunulia gari.
Nay muda mfupi aliandika pia kwenye ukurasa wake wa Instagram; “Huyu
ni malaika wa Mungu… Hajui chochote.. Km kuna mtu anasema ni wake aje
amchukue nitampa bila malumbano,, Am a gentleman. Nawapenda wanawake
wote mnaojitambua“– @naytrueboy
Story ya Nay wa Mitego kumchukua
mtoto wake ilisikika kwenye AMPLIFAYA March 17 2015 akisema anamchukua
mtoto wake ili akalelewe na mama yake lakini hana ugomvi wowote na mzazi
mwenzake.
No comments:
Post a Comment