Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye
mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu ame-share nasi picha kadhaa
akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji Aunty Ezekiel ambae kwa sasa
ni mjamzito na karibu kujifungua.
Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishika tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashiria kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumbe ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki wa kweli na wanafurahia pamoja.
Kitendo hiki cha wema kiliwafurahisha wengi na kumsifu Wema kuwa na moyo wa upendo kwa jamaa zake.
Nami naungana nao kumsifu Wema kwa moyo huu aliouonyesha, kwani rafiki wa kweli ni yule ambaye mnakuwanae wakati wote…
Mzee wa Ubuyu

No comments:
Post a Comment