Kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu, Steps Entertainment hivi
karibuni itatoa filamu mbili za marehemu Steven Charles Kanumba kwa
lengo la kumuenzi nyota huyo wa filamu.
Filamu hizo ni YAMENIKUTA ambayo inatoka mwezi huu wa tatu mwishoni pamoja na RIZIKI inayotarajia kutoka mwezi ujao siku chache kabla ya kufikia siku ya kumbukumbu ya kifo chake

No comments:
Post a Comment