Friday, 10 April 2015

Christina Millan Afunguka juu ya uhusiano wake na Lil Wayne

Mbali na kutapakaa kwa story kibao juu ya uhusiano wa mwana dada Christina Millan na Lil Wayne,jana jana katika interview aliyofanya Millan katika kipindi cha Big Boy los Angeles radio alifunguka a mpaka z kuhusu yeye na Wizy.
Continued after the jump ....
Alipo ulizwa kuhusu ukweli wa mahusiano hayo Millan alisema
"I do love Lil wayne" mbali na kuwa ameingia mara tatu katika album ya Wayne carter V ila kwa sasa Weeezy ndio wake kwa vyote.
 
Tazama interview hiyo alivyo funguka

No comments: