Leo asubuhi ya mapema,madereva wa mabasi yaendayo mikoani na wabeba
abiria wa kawaida yaani city bus,wameamua kugoma kutokana na sababu zao
binafsi na hii ndio ghasia iliyotokea asubuhi hii
Continued after the jump ....
Kwa baadhi ya watu tuliofanya nao mahojiano wanadai kwamba mgomo huu
waliutangaza tangu jana,na tulipo jaribu kuuliza sababu za mgomo huo ni
kutokana na tamko la SUMATRA kuwadai wapunguze bei za usafiri kutokana
na kushuka kwa bei za mafuta.Lakini maderva hawa wamegoma na kuanzisha
mgomo na kusababisha fujo kubwa kama hii.
No comments:
Post a Comment