LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini,
msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke
picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache
walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao
wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa kingereza kibovu, pili picha chafuuu machoni kwa watoto wadogo mtandaoni, why? Why? Why?
Nini maoni yako mdau juu ya picha kama hizi toka kwa wasanii ambao Kwetu ndio kioo cha jamii?
TUTUMIE MAONI YAKO HAPA>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments:
Post a Comment