Msanii aliyefanya vizuri na single ya ‘Hakunaga’, Suma Lee
amesema hatofanya tena muziki kwa sababu ameachana kabisa na maisha
hayo.
Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’, amesema hana mpango wa kuzitoa nyimbo zake zilizoko studio ambazo hazijatoka.
“Sifanyi tena muziki na nimeachana kabisa na maisha hayo, na nyimbo zote zilizobaki studio nimezisimamisha zisitoke baada ya kuzilipia, “ Alisema Suma.
“Kuna wimbo mmoja nimefanya na Cp ambao ndio ulikuwa wa kurudisha kundi la Parklane, pia nimeuzuia, labda Cp auchukue yeye.
Kilichobaki ni kuwaombea wazazi wetu waliotutangulia, wengine walikuwa hawataki tufanye kazi hizi, kwa kuwa hawapo na hakuna wakutukataza tena, bora tukae na kuwaombea.”alisisitiza "Suma Lee"

No comments:
Post a Comment