Sunday, 31 May 2015

CHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI

Cheka akimzibua Box Mthailand.

Mthailand Singwacha akiandaliwa na Msaidizi wake kabla ya Pambano kuanza.

Wadau wakifuatilia Mpambano.
Mthailand Singwacha akichirizika damu baada ya kichapo.
BONDIA Francis Cheka jana aliendeleza ubabe kwa kumchapa bondia Kiatchai Singwancha kutoka Thailand katika pambano lililofanyika Ukumbi wa PTA uliopo Viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Pambano hilo Cheka alilimaliza katika raundi ya nane baada ya kumteua bega mpinzani wake.

No comments: