DIAMOND ALALAMIKIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD{KTMA}
Mfuatiliaji mzuri wa BLOG yetu utakumbuka mwaka jana msanii
Diamond Platnumz jinsi alivyovunja rekodi ya 20 Percent [Tuzo tano] kwa kunyakua
tuzo saba za kilimanjaro hapa Tanzania.
Msanii huyu mwaka huu ameonyesha nia yakutofanya mpango wa kuomba kura kutokana na sababu alizoandika hapa.
No comments:
Post a Comment