Wasanii wanaotajwa kuongoza kwa utajiri kwenye orodha ya wasanii
matajiri zaidi nchini Nigeria P Square wamekamilisha kazi iliyowaleta pamoja na
Msanii Diamond Platnumz kutoka Tanzania, wimbo huu ni wa Msanii Diamond na post ya P
Square imeonyesha wazi kuwa ni collabo waliyoombwa na mashabiki wao kwa
muda sasa.
No comments:
Post a Comment