Wednesday, 6 May 2015

JOYCE KIRIA AMPONGEZA ZARI KWA UBUNIFU MKUBWA,PIA AWAPA MAKAVU WALIOKASIRISHWA NA KAULI YAKE HIYO.

Joyce Kiria"Nkongo"{Super Woman}
Ivi mie kusema nimehamasika na wifi @zarithebosslady ni dhambi???? Ishu ya ripoti ya mapato yake mbona iko wazi... Ni joks ngapi watu huweka kwa wall zao? Lakini pia ukweli ni kwamba kapiga pesa kwa mda mfupi sana alotinga hapa nchini na katuacha wengine tunashangaa... Kubali kataa huyu dada ana akili kubwa sana So kiufupi ndo ivo Nimempenda sana wifi @zarithebosslady..... kama hutaki tafuta ndimu ulambe😛😛😛

Mtangazaji huyo wa kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa hewani na kituo cha TV cha EATV alijikuta akiandika maneno hayo hapo juu baada ya Kupost picha inayoonyesha kumpongeza bi dada #Zari the boss lady kwa kufanikiwa vilivyo kwenye show yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita"ZARI ALL WHITE PARTY",ambapo baadhi ya waliocomment kwenye post hiyo walionyesha kuwa tofauti naye,
Kama inavyosomeka hapo chini, 

No comments: