Wednesday, 6 May 2015

Makamua aingia rasmi kwenye filamu

Makamua
Staa wa muziki wa Kizazi Kipya{Bongo Flava}Makamua, ametangaza ujio wake mpya kwa upande wa uigizaji akiwa ni mmoja ya washiriki katika projekti kubwa ya filamu inayokwenda kwa jina la Bongo na Fleva.



Makamua amesema kuwa ndani yake inahusisha pia mastaa wengi na wakubwa kabisa kutoka tasnia ya muziki wa Bongo Flava, ambapo mpaka sasa projekti hiyo imekwisha kamilika.
Ameongezea kuwa hatua ya kuifikisha kwa wananchi ipo katika mipango ambayo inachukua muda kidogo kutokana na ukubwa wake,
Toka kushoto Makamua,Kekuu & Joslin.

No comments: