Tuesday, 12 May 2015

NISHA AVAMIWA NA KUIBIWA NA MAJAMBAZI.

Muigizaji Salma Jabu{Nisha}
Kila jambo hujengwa kwa imani,nakushukuru baba hakika wewe ndo ulinipa na wewe ndo umechukua, ahsanteni wezi/majambazi Wapenzi nimevamiwa usiku wa kuamkia leo (jana), watu wasiopungua watano,wamekuja na gari kabisa,wamechukua walivyochukua kikubwa nipo hai’- 
Hayo ndiyo maelezo ya Staa wa Bongo Movies Salma Jabu ‘Nisha’ mara baada ya Wezi kumvamia na kukomba vitu baadhi kama unavyoona hapo juu pichani.
Pole sana Nisha, Mungu akupe nguvu na baraka zaidi.

No comments: