Wednesday, 6 May 2015

Nikki Mbishi amchana Nikki wa Pili,Amuita Mfanyabiasha Na wala si Mwanahip hop.

Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop

Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila usipotoshe tena kwa kutumia kivuli cha Hip Hop ili hali tunafahamu wewe ni mfanya biashara That’s not Hip Hop ,That’s something else 

No comments: