Sunday, 31 May 2015

PICHA ZA AWALI-AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO WAKIWA NA MTOTO WAO.


Staa wa Filamu{Tz} Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha kadhaa kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliyempa jina la COOKIE "La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"

No comments: