Saturday, 20 June 2015

Brand New Song By MZUNGU KICHAA Feat MALFRED-Twajiachia.{AUDIO & VIDEO}

Ngoma nyingine mpya ikiwa inatoka kwa mwanamuziki mzungu "MZUNGU KICHAA"mwanamuziki mwenye asili ya kizungu,aliyezimika kuimba kwa lugha ya kiswahili,hapa akimshirikisha "MALFRED"moja ya mazao ya BSS"BONGO STAR SEARCH"

*WAWEZA KUPAKUA AUDIO HAPA>>>>>http://goo.gl/w6kfF3

*PIA ANGALIA VIDEO YAKE HAPO CHINI,

No comments: