Msanii Diamond toka {Tz}ameendelea kuwa chachu yenye mvuto mkali kwa muziki wa Africa,Hii ni baada ya wasanii wengi wa Africa kutamani kumshirikisha kwenye Ngoma zao wakiamini zitafanya vizuri.
Hali hii imedhihirika pale ambapo Diamond ameshirikishwa tena kwenye Ngoma yake Msouth Africa "Donalds",hii ni muda mfupi baada ya collabo yake Kcee{Nigeria}na mkali huyu toka Bongo "Diamond Platnumz"ambapo singo hiyo "Love boat"imeachiliwa siku ya Jumanne wiki hii.
Kupitia Accounnts za wasanii hawa wote wawili,Diamond & Donalds wameshare picha zao wakiwa ndani ya UNNIVERSAL STUDIO ndani ya Africa ya kusini,pamoja na baadhi ya sentensi zikiashiria ujio wa ngoma yao........
NB:-IANGALIE {VIDEO}FUPI YA JINSI WAKALI HAWA WALIVYOKUTANA STUDIO,

No comments:
Post a Comment