![]() |
| Chegge |
Staa
wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na
mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku
zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya
kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.
Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa kivutio kikubwa kwa upande huo wa uigizaji.

No comments:
Post a Comment