Monday, 1 June 2015

H BABA ADHIHIRISHA KUISURPOT TEAM KIBA KWENYE KTMA 2015.

H BABA

Msanii Hbaba katika tuzo za watu na tuzo zinazotarajiwa kufanyika za Kilimanjaro amekua akiwahimiza mashabiki wake kumpigia kura msanii Ali Kiba ambaye ni mpinzani mkuu wa msanii Diamond Platnum katika tasnia ya mziki wa bongo fleva Tanzania.
H Baba amekua akitoa madongo ya chini chini kwa msanii Diamond yakiashiria kumchukia msanii huyo.akisisitiza kuwa katika Show ya jijini mwanza Diamond Platnum alipata mapokezi makubwa toka kwa madereva wa boda boda kuanzia uwanja wa ndege lakini H Baba alikaririwa akimpiga madongo msanii huyo anayekodi watu ili kushangiliwa kwenye mikoa ya watu.
Msanii Hbaba amekua akipost video zenye kumuonyesha msanii mwenye mdomo mkubwa akiwasalimia mashabiki wake zinazopelekea moja kwa moja ni dhihaka kwa msanii Diamond Platnum.
Chuki  iliyozaliwa miaka kadhaa baada ya msanii H Baba kudai ameibiwa idea ya wimbo wa "nataka kulewa" na msanii huyo.

No comments: