Monday, 8 June 2015

JOKATE ATAKA KUJIUA.

Imefichuka! 
Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo ya urembo na muziki, Jokate Urban Mwengelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia,
Fuatilia mwenyewe{VIDEO} ya Mahojiano hapo chini,

No comments: