![]() |
| Mh,Joseph Desderius Mbilinyi"Sugu"na mwanae "Sasha" |
Mbunge wa Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh,Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ amemfikisha kortini aliyekuwa mzazi mwenzie, Bi,Faiza Ally akitaka apewe mtoto wake, Sasha (2) ili amlee chini ya himaya yake kwa vile mama yake huyo si mwadilifu.
| Mzazi mwenzie Mh,Sugu,Bi,Faiza Ally akiwasili Mahakamani. |
Ijumaa iliyopita, saa 2:00 asubuhi, Faiza alipanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Manzese/ Sinza.
Mahakama iliyopo Sinza-Makaburini jijini Dar kwa ajili ya kukabiliana na madai hayo.

No comments:
Post a Comment