![]() |
Hemedy{Phd} na Mama yake. |
Naamini kila mtu anawapenda wazazi wake, kwa sababu ndio wametuleta duniani na pengine wamechangia mafanikio yetu. Leo tumeamua kukusanyia picha za baadhi ya wasanii wa hapa kwetu Bongo wakiwa na wazazi wao. Picha hizi ni za wasanii saba tofauti wengine wakiwa wa muziki na wengine wamaigizo, tulichogundua ni kua wengi wa wasanii hawa hawajapiga picha na baba zao, ni mmoja tu kati ya nane ndo kapiga picha na Baba yake. Unaweza tazama picha hizi hapa chini.
Diamond na Mama yake. |
Jokate na Mama yake. |
![]() |
Monalisa na Mama yake. |
![]() |
Linah akiwa pamoja na Baba na Mama yake. |
Wema na Mama yake. |
![]() |
Shilole na Mama yake |
No comments:
Post a Comment