Tuesday, 30 June 2015

PICHA:-Mh,RAIS J.M.KIKWETE AFUTURISHA YATIMA.

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu-Juni 29, 2015. picha na Freddy Maro 

No comments: